Soko kubwa Tanzania. Peruzi, burudika,talii na Nunua bidhaa, huduma, Teknolojia. Utaalamu, Malighafi na Biashara Twende Sokoni!Huduma Zetu

UWEKEZAJI

Jiunge na HAIPPA Investors na Wekeza nasi kuzifikia...... Fahamu zaidi »»

SOKO LA HAIPPA

Tangaza/Tambulisha Biashara, Bidhaa, Huduma, Ubunifu.... Fahamu zaidi »»

AKADEMI YA BIASHARA

Tumia Fursa za HAIPPA kujenga na Kukuza mtaji... Fahamu zaidi »»

HUDUMA ZINGINE

Bonyeza fahamu zaidi ili kupata huduma zaidi za HAIPPA.... Fahamu zaidi »»

Logo

HAIPPA PLC -MWANZA

Ofisi kuu Mwanza Nyamanoro Daladala Station Post Code: 33223 Airport Road, Mwanza Tanzania

+255 755 967 065

Logo

HAIPPA PLC - MUSOMA

Ofisi ya Kanda Bsmart House, Post Code 31104 Serengeti Road Kitaji Musoma CBD, Tanzania

+255 755 967 065

Logo

HAIPPA PLC- DAR ES SALAAM

Floor ya Sita Jengo la Red Cross Kisutu Karibu na Soko kuu la Kisutu Dar es salaam Tanzania

+255 742 203 866

Logo

HAIPPA PLC- MBEYA

Mbeya Food Park Old Airport Road Kata ya Iyela, Eneo la Kabwe Karibu na Stand ya Chunya

+255 755 947 943


Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu

CPA Boniface T. Ndengo

Fursa ni Nyingi Sana, Kazi yetu HAIPPA ni kuzifikia, kuzichukua na kukusogezea. Kazi yako ni moja tu kuwekeza na kuzitumia. HAIPPA ni Akademi ya Ubunifu, Uwekezaji na Biashara Afrika tunajihusisha na Ubunifu Mkubwa kwenye Tasnia za Fedha, Masoko, Menejiment na Uwekezaji. Unapochagua kuwekeza nasi tarajia Gawio NONO kila Miezi mitatu. Nawakaribisha Vijana, Wabunifu, Wajasiriamali, Wazalishaji, Wahitimu, Wanataaluma, Watumishi, Wazazi na Wastaafu kutumia Fursa za HAIPPA ambazo ni Uwekezaji, Soko la HAIPPA Afrika, Mitaji, Teknolojia, Msaada Kuanzisha, kusajili na kurasimisha biashara, kupata Vibali, Kuhudumia Zabuni uliyoshinda, Kutangaza Biashara au bidhaa zako, msaada wa Kihasibu au Kisheria. HAIPPA tuna mifumo bora kabisa ya ufungaji Hesabu na uwasilishaji taarifa itakayokupunguzia stress nyingi za kihasibu na za kisheria. Jisajili tukupeleke kwenye Fursa za miradi ya kimkakati na Masoko makubwa ili kwa pamoja Watanzania tujenge uchumi mkubwa. Karibu kwenye familia yetu ya HAIPPA Newbie Investors, Managers and Entrepreneurs, Tunabuni,Tunawekeza, Tunajenga Biashara, Tunauza kwenye Masoko makubwa, Tunazalisha Ajira za Managers, Tunasaidia Kurasimisha na Kukuza Biashara na Tunawezesha Vijana Kukuza Ubunifu, Vipaji na kufika mwisho wa Ndoto zao. Elimu na usajili ni bure kabisa, Lipia tu huduma ya HAIPPA unayoihitaji. Karibu Tuijenge Sekta Binafsi Tanzania.

C.E.O

Latest NewsNEW BRANCH HAIPPA MBEYA
Logo

Admin

2024-05-30

THE DIFFERENCE BETWEEN BETTING AND INVESTING
Logo

Admin

2024-05-31


Matukio katika Picha

HAIPPA PLC wakitiliana Saini kushirikiana kibiashara na Kampuni za China

C.E.O

Mikataba.

HAIPPA MARKET SOLUTIONS PLC is Public company dedicated to Innovating, Investing, Nurturing and Hyping Big Dreams in Africa.


Watu wanasemaje Kuhusu sisi

Nimefurahishwa sana na huduma za uwekezaji za HAIPPA. Wamekuwa wabunifu na waaminifu katika usimamizi wa mali zangu. Asante kwa kuleta mabadiliko chanya katika maisha yangu ya kifedha

James M

Kuwekeza na HAIPPA kumekuwa uamuzi bora zaidi niliowahi kufanya. Huduma zao za kitaalam na ufahamu wa soko zimenipa imani kubwa katika safari yangu ya uwekezaji. Nawashukuru sana!

Eliya A.

Kampuni ya HAIPPA imenipa mwongozo mzuri sana katika kusimamia na kuendeleza mali zangu. Wao ni wabunifu, wenye nidhamu, na wenye uzoefu. Napendekeza sana kwa wale wanaotafuta suluhisho bora za uwekezaji.

Emmily

Nina furaha kubwa kuwa mteja wa HAIPPA. Huduma zao ni za kipekee na zimeboresha sana ustawi wangu wa kifedha. Nawapongeza kwa kazi nzuri wanayofanya!

Sarah

HAIPPA ni chaguo bora linapokuja suala la uwekezaji. Wamekuwa wabunifu na wenye kujitolea katika kuhakikisha mafanikio ya wateja wao. Hakika wana thamani ya kuamini

Samwel S